- Thread starter
- #41
eti huyo ni mtaalamu, ndivyo walivyo, hata wa mifugoKuna jamaa wa kilimo nilimuitwa shambani migomba michache ilikuwa inaoza kabla haijazaa , akaniambia ng'oa yote shamba zima Anza upya, shamba la ekari 2
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
eti huyo ni mtaalamu, ndivyo walivyo, hata wa mifugoKuna jamaa wa kilimo nilimuitwa shambani migomba michache ilikuwa inaoza kabla haijazaa , akaniambia ng'oa yote shamba zima Anza upya, shamba la ekari 2
Shida ni mtoto wako na sio vyuo.Huyo dogo aliendekeza mademu au nyeto.Kwanza ulimpeleka chuo baada ya wewe kumshindwaVijana wanamaliza hivi vyuo wakiwa hawajui lolote kwa miaka mitatu ya certifcate na diploma.
Nimemhoji kijana amemaliza certificate kutoka MATI Mtwara, Mtoto amesoma certificate in Kilimo na Mifugo, unamuuliza ECF ni nini hajui! Kupiga sindano ng'ombe hajui! Hakuna ugonjwa wowote wa mimea anaoujua.
Ndio wahitimu, lk si kosa lao. Mfano MTwara Agricultural Trainig Institute wanachowafanya watoto ni kulima tu mashamba ya korosho etc. Ni kama manamba, wako pale as a source of labour and not to learn agricultural and animal science be fit to be employed or self-employed.
Hawawezi kuajiliwa popote au kujiajiri maana unamuuliza kuku wanafugwaje hajui..., magonjwa ya kuku ni yapi, hajui. Watafute mkawaulize
( Nisi generalise, lkn for MATI Mtwara is a waste of time for our kids!
Lkn kushindwa kwa mtu mmoja hakuwezi kufanya wote waonekane hawafai,Ssmaki mmoja akioza mtupe baki na waliowazuri.lakini unategemea vitu basic avijibu vema.....ach hayo ya juu
Shule (taaluma) waliyosomea inakuwa haiendani na uhalisia kwa vitendo. Hata ukiwapa shamba la ekari moja walime matikiti maji sidhani kama wote watafanikiwa kwenye mavunoexactly, nashukuru umenielewa vema. Ngombe anaumwa mastitis, unamleta mtaalamu wa ngombe, uaona kabisa kuwa huyu ni mbabaishaji. Unaamua ku google, unaweza kupata maelekezo mazuri kuliko kumwita "mtaalamu" wa mifugo...
Vijana wanamaliza hivi vyuo wakiwa hawajui lolote kwa miaka mitatu ya certifcate na diploma.
Nimemhoji kijana amemaliza certificate kutoka MATI Mtwara, Mtoto amesoma certificate in Kilimo na Mifugo, unamuuliza ECF ni nini hajui! Kupiga sindano ng'ombe hajui! Hakuna ugonjwa wowote wa mimea anaoujua.
Ndio wahitimu, lk si kosa lao. Mfano MTwara Agricultural Trainig Institute wanachowafanya watoto ni kulima tu mashamba ya korosho etc. Ni kama manamba, wako pale as a source of labour and not to learn agricultural and animal science be fit to be employed or self-employed.
Hawawezi kuajiliwa popote au kujiajiri maana unamuuliza kuku wanafugwaje hajui..., magonjwa ya kuku ni yapi, hajui. Watafute mkawaulize
( Nisi generalise, lkn for MATI Mtwara is a waste of time for our kids!
It is very unfortunate kuwa unaongelea vyuo vya enzi hizo za miaka ya 80s! Hivyo vilikuwa vyuo mathubuti sana and learning was taking place vigorously. Nilikuwa kule those times and it was a prestige to be there-MATI Mtwara was excellent like Uyole by those days! Not now.Kadri ya kumbukumbu zangu, taasisi hizo zote sawa na Uyole, Ukiliguru, Ilonga, Msalato nk vimetoa wajuzi wengi tu. Kwa hiyo siwezi kukubaliana na mto mada moja kwa moja ingawa inaweza kuwa kweli kuna kazi nyngi za field jambo ambalo sioni kama ni jambo baya.
but was the first/best perfprmer/ performing at chuoLkn kushindwa kwa mtu mmoja hakuwezi kufanya wote waonekane hawafai,Ssmaki mmoja akioza mtupe baki na waliowazuri.
Sample ya research ni moja, je huoni wewe pia ni tatizo?Vijana wanamaliza hivi vyuo wakiwa hawajui lolote kwa miaka mitatu ya certifcate na diploma.
Nimemhoji kijana amemaliza certificate kutoka MATI Mtwara, Mtoto amesoma certificate in Kilimo na Mifugo, unamuuliza ECF ni nini hajui! Kupiga sindano ng'ombe hajui! Hakuna ugonjwa wowote wa mimea anaoujua.
Ndio wahitimu, lk si kosa lao. Mfano MTwara Agricultural Trainig Institute wanachowafanya watoto ni kulima tu mashamba ya korosho etc. Ni kama manamba, wako pale as a source of labour and not to learn agricultural and animal science be fit to be employed or self-employed.
Hawawezi kuajiliwa popote au kujiajiri maana unamuuliza kuku wanafugwaje hajui..., magonjwa ya kuku ni yapi, hajui. Watafute mkawaulize
( Nisi generalise, lkn for MATI Mtwara is a waste of time for our kids!
Huwezi ukasema vyuo vyetu sio vizuri kwa kuangalia mtu mmoja.Vijana wanamaliza hivi vyuo wakiwa hawajui lolote kwa miaka mitatu ya certifcate na diploma.
Nimemhoji kijana amemaliza certificate kutoka MATI Mtwara, Mtoto amesoma certificate in Kilimo na Mifugo, unamuuliza ECF ni nini hajui! Kupiga sindano ng'ombe hajui! Hakuna ugonjwa wowote wa mimea anaoujua.
Ndio wahitimu, lk si kosa lao. Mfano MTwara Agricultural Trainig Institute wanachowafanya watoto ni kulima tu mashamba ya korosho etc. Ni kama manamba, wako pale as a source of labour and not to learn agricultural and animal science be fit to be employed or self-employed.
Hawawezi kuajiliwa popote au kujiajiri maana unamuuliza kuku wanafugwaje hajui..., magonjwa ya kuku ni yapi, hajui. Watafute mkawaulize
( Nisi generalise, lkn for MATI Mtwara is a waste of time for our kids!
Hiyo sio hoja, kuna watu vyuoni Wana faulu kwa mbinu mbadala.but was the first/best perfprmer/ performing at chuo
Ipo nakubali, lkn miaka 3 yote unaiba mitihani, unahonga and whatever other means?Hiyo sio hoja, kuna watu vyuoni Wana faulu kwa mbinu mbadala.
Inasikitisha sana!Vijana wanamaliza hivi vyuo wakiwa hawajui lolote kwa miaka mitatu ya certifcate na diploma.
Nimemhoji kijana amemaliza certificate kutoka MATI Mtwara, Mtoto amesoma certificate in Kilimo na Mifugo, unamuuliza ECF ni nini hajui! Kupiga sindano ng'ombe hajui! Hakuna ugonjwa wowote wa mimea anaoujua.
Ndio wahitimu, lk si kosa lao. Mfano MTwara Agricultural Trainig Institute wanachowafanya watoto ni kulima tu mashamba ya korosho etc. Ni kama manamba, wako pale as a source of labour and not to learn agricultural and animal science be fit to be employed or self-employed.
Hawawezi kuajiliwa popote au kujiajiri maana unamuuliza kuku wanafugwaje hajui..., magonjwa ya kuku ni yapi, hajui. Watafute mkawaulize
( Nisi generalise, lkn for MATI Mtwara is a waste of time for our kids!
GPA kubwa haitoshi kupima umahili wa mtu hasa kwa fani zenye vitendo ndani yake. Hiyo ni kwa fani zote. Wapo watu hutumia ujanja ujanja mwingi ili tu kufaulu mitihani lakini hawazingatiii kipengele cha umahili.Watu km huyo uliyemuhoji wametaa vyuo vingi TZ.Ana interest Sana, Tena GPA ya over 4. Highly determined to have a degree in agriculture ndiyo maana alikazana kupata GPA kubwa isije mletea kikwazo