Vyuo vyetu vya Kilimo ni kupoteza muda tu, there is no learning taking place with regard to Kilimo na ufugaji

Kuna jamaa wa kilimo nilimuitwa shambani migomba michache ilikuwa inaoza kabla haijazaa , akaniambia ng'oa yote shamba zima Anza upya, shamba la ekari 2
eti huyo ni mtaalamu, ndivyo walivyo, hata wa mifugo
 
Shida ni mtoto wako na sio vyuo.Huyo dogo aliendekeza mademu au nyeto.Kwanza ulimpeleka chuo baada ya wewe kumshindwa
 
exactly, nashukuru umenielewa vema. Ngombe anaumwa mastitis, unamleta mtaalamu wa ngombe, uaona kabisa kuwa huyu ni mbabaishaji. Unaamua ku google, unaweza kupata maelekezo mazuri kuliko kumwita "mtaalamu" wa mifugo...
Shule (taaluma) waliyosomea inakuwa haiendani na uhalisia kwa vitendo. Hata ukiwapa shamba la ekari moja walime matikiti maji sidhani kama wote watafanikiwa kwenye mavuno
 

Kama hayo yote uliyomuuliza hajui, basi nae ni sehemu ya tatizo. Naliendele kadri nijuavyo kuna taasisi kama 3, nazo ni Naliendele Agricultural Research Institute(siku hizi Tanzania Agricultural Researc Institute (TARI- Naliendele)Kituo cha Utafiti wa Kilimo Naliendele, Chuo cha Kilimo-MATI(Ministry of Agricultural Training Institute) na taasisi ya tatu ni Kituo cha Utafiti wa Mifugo(Naliendele Veterinary Centre).
Kadri ya kumbukumbu zangu, taasisi hizo zote sawa na Uyole, Ukiliguru, Ilonga, Msalato nk vimetoa wajuzi wengi tu. Kwa hiyo siwezi kukubaliana na mto mada moja kwa moja ingawa inaweza kuwa kweli kuna kazi nyngi za field jambo ambalo sioni kama ni jambo baya.
 
It is very unfortunate kuwa unaongelea vyuo vya enzi hizo za miaka ya 80s! Hivyo vilikuwa vyuo mathubuti sana and learning was taking place vigorously. Nilikuwa kule those times and it was a prestige to be there-MATI Mtwara was excellent like Uyole by those days! Not now.

Unamuuliza mtoto, umefundishwa namna ya kupiga sindano ng'ombe nasema hapana, sasa huyu kama mtaalamu wa kati wa mifugo atafanya nini?

Field work siyo kwa kiwango cha 90% of the time mnalima ad only 10% devoted for classroom lectures. Never, acaademics haziendi hivyo.
 
Sample ya research ni moja, je huoni wewe pia ni tatizo?
 
Huwezi ukasema vyuo vyetu sio vizuri kwa kuangalia mtu mmoja.
 
Inasikitisha sana!
 
Ana interest Sana, Tena GPA ya over 4. Highly determined to have a degree in agriculture ndiyo maana alikazana kupata GPA kubwa isije mletea kikwazo
GPA kubwa haitoshi kupima umahili wa mtu hasa kwa fani zenye vitendo ndani yake. Hiyo ni kwa fani zote. Wapo watu hutumia ujanja ujanja mwingi ili tu kufaulu mitihani lakini hawazingatiii kipengele cha umahili.Watu km huyo uliyemuhoji wametaa vyuo vingi TZ.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…