Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 5,168
- 8,982
Wa 2000 watasema haya ni mabomu ya kivita ya zamani🤣🤣🤣
Ila hamjui LW, SW zilikuwa zinatumikaje kwenye radioHakuna asuejua redio wewe
Wacha longolongo kula burudani kwanza...Ila hamjui LW, SW zilikuwa zinatumikaje kwenye radio
Monetary doctor come on right here and let's go back to those days.Wa 2000 watasema haya ni mabomu ya kivita ya zamani🤣🤣🤣
View attachment 3334845
View attachment 3334846
View attachment 3334847
View attachment 3334848
View attachment 3334849
View attachment 3334850
View attachment 3334857
Unamaanisha ni vituturi hivyo?Amani ya Bwana ii malangoni kwetu.Hayo masanduku ya kupigia kura
Mkuu ongesa ngoma ingine.Wacha longolongo kula burudani kwanza...
View attachment 3334891
Mabishoo/magangwe/masela walipenda sana kuziweka mabegani huku wanatembea kwa kunesa/swings/swaggers za hali ya juu.Here we go,babe!Wa 2000 watasema haya ni mabomu ya kivita ya zamani🤣🤣🤣
View attachment 3334845
View attachment 3334846
View attachment 3334847
View attachment 3334848
View attachment 3334849
View attachment 3334850
View attachment 3334857
Dah mkuu, yaani zote zinaonekana ni 'brand new' kabisa, wewe ni kiboko!Wa 2000 watasema haya ni mabomu ya kivita ya zamani🤣🤣🤣
View attachment 3334845
View attachment 3334846
View attachment 3334847
View attachment 3334848
View attachment 3334849
View attachment 3334850
View attachment 3334857
Mkuu ongesa ngoma ingine.
Hisi nyimbo ni nzuri sana.
Perfume 😅, yeah!! Mkuu kumbe we ni mzee mpenda mapini Makali kama mimi aise.
Perfume 😅, yeah!! Mkuu kumbe we ni mzee mpenda mapini Makali kama mimi aise.
Haha!, sijazeeka ila nahisi ni kama bahati nimekuwa kwenye kipindi ambacho hizi ngoma zilikuwa zinawika na labda niseme mi napenda sana muziki so hivyo ikawa rahisi zaidi kuzipenda na kuzijua hizi ngoma!.Perfume 😅, yeah!! Mkuu kumbe we ni mzee mpenda mapini Makali kama mimi aise.
Mkuu hata Mimi zile ngoma za pale first generation z ya bongo flava nazipenda sana hasa nyota ya msechu na amini, baby candy ya Dully, Robo saa ya amini, jambo jambo ya Rnb n.kHaha!, sijazeeka ila nahisi ni kama bahati nimekuwa kwenye kipindi ambacho hizi ngoma zilikuwa zinawika na labda niseme mi napenda sana muziki so hivyo ikawa rahisi zaidi kuzipenda na kuzijua hizi ngoma!.
Napenda muziki ila zaidi napenda muziki wa zamani!.
Ngoma za twenty percent n balaaMkuu hata Mimi zile ngoma za pale first generation z ya bongo flava nazipenda sana hasa nyota ya msechu na amini, baby candy ya Dully, Robo saa ya amini, jambo jambo ya Rnb n.k
Mkuu acha kabisa,! Yule mtu alijua sana kuimba. Yeye na man Walter 'man maji' walikuwa na combination ya hatari sana.Ngoma za twenty percent n balaa
Hapo hiyo redio station hata iwe uko mwisho wa dunia lazma utaisikia tuIla hamjui LW, SW zilikuwa zinatumikaje kwenye radio