Wa 2000 watasema haya ni mabomu ya kivita ya zamani

Wa 2000 watasema haya ni mabomu ya kivita ya zamani

Niliponunua radio cassette yangu nilinunua album ya Westlife coast to coast na album ya sedekia dah🙌🙌nilikuwa sizimi umeme ukikata betri
Anha! Wewe ndiye uliyekuwa unapanga betri za Panasonic na ABC dirishani ili zipigwe na jua muda wa alasiri kwa minajili ya matumizi ya usiku ya kusikiliza kipindi cha michezo na burudani siyo?
 
Anha! Wewe ndiye uliyekuwa unapanga betri za Panasonic na ABC dirishani ili zipigwe na jua muda wa alasiri kwa minajili ya matumizi ya usiku ya kusikiliza kipindi cha michezo na burudani siyo?
Michezo na burdani haikuwa vitu vyangu kabisa
Mi asubuhi naamka na power breakfast ya masudi phina mango na Gerald wakimaliza naingia mi natupia cassette
Betri nilikuwa natupa juu ya bati
 
Hizo chakula chake ilikuwa hizi kitu apa ila nyingi zilikuwa rangi ya green. zikitengenezwa na wajapan matsushita electric walikuwa na kiwanda chao apaapa bongo.
👇👇
Screenshot_20250515-221836_Chrome.jpg
 
Back
Top Bottom