secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Anha! Wewe ndiye uliyekuwa unapanga betri za Panasonic na ABC dirishani ili zipigwe na jua muda wa alasiri kwa minajili ya matumizi ya usiku ya kusikiliza kipindi cha michezo na burudani siyo?Niliponunua radio cassette yangu nilinunua album ya Westlife coast to coast na album ya sedekia dah🙌🙌nilikuwa sizimi umeme ukikata betri
betri zikianza kusinzia unazitoa unazipondaponda na mawe unazirudisha tena redioni unaendelea kula mangoma🤣Niliponunua radio cassette yangu nilinunua album ya Westlife coast to coast na album ya sedekia dah🙌🙌nilikuwa sizimi umeme ukikata betri
Michezo na burdani haikuwa vitu vyangu kabisaAnha! Wewe ndiye uliyekuwa unapanga betri za Panasonic na ABC dirishani ili zipigwe na jua muda wa alasiri kwa minajili ya matumizi ya usiku ya kusikiliza kipindi cha michezo na burudani siyo?
ilikuwa album ya moto🔥🔥🔥 sana hiinilinunua album ya Westlife coast to coast
Hadi zikubalibetri zikianza kusinzia unazitoa unazipondaponda na mawe unazirudisha tena redioni unaendelea kula mangoma🤣
Acha kabisa ule ulikuwa moto mwingineilikuwa album ya moto🔥🔥🔥 sana hii
Poor Brain hawezi elewaWa 2000 watasema haya ni mabomu ya kivita ya zamani🤣🤣🤣
View attachment 3334845
View attachment 3334846
View attachment 3334847
View attachment 3334848
View attachment 3334849
View attachment 3334850
View attachment 3334857
✅️Hakuna asuejua redio wewe
Tumetoka mbali sana. Jamaa yangu alikuwa anachemsha betri kwenye sufuria, anazikausha, anziweja kwenye redio then anamwemereka.betri zikianza kusinzia unazitoa unazipondaponda na mawe unazirudisha tena redioni unaendelea kula mangoma🤣
hizo zilikuwa mbinu za medani maana hali ya uchumi ilibana sana ikafanya watu wawe wabunifuTumetoka mbali sana. Jamaa yangu alikuwa anachemsha betri kwenye sufuria, anazikausha, anziweja kwenye redio then anamwemereka.
Mwemere! mwemere!
Hahaha 😂, ukiwa kwenye hali mbaya ubunifu lazima uje ndo maana zamani nilikuwa nikiharibikiwa na redio nilikuwa natengeneza mwenyewe maana sikuwa na hele ya kupeleka kwa fundi.hizo zilikuwa mbinu za medani maana hali ya uchumi ilibana sana ikafanya watu wawe wabunifu
Mkuu una uhakika mimi wa 2k ... Mbona unatka ukorofiPoor Brain hawezi elewa
Naomba km una wimbo wa muchana upload hapa, best regardsWacha longolongo kula burudani kwanza...
View attachment 3334891
Tena 2005 kwenda juuMkuu una uhakika mimi wa 2k ... Mbona unatka ukorofi
Daaah mkuu ni vile atujuani humu ooohTena 2005 kwenda juu
Join july 2019Daaah mkuu ni vile atujuani humu oooh
Nipo toka 2014 hapa jf..just imagine
Nina id tatu mkuu...Join july 2019
We' jamaa unaonekana ni mtundu sana mpaka haWacha longolongo kula burudani kwanza...
View attachment 3334891