Watanzania tunaishi kwenye
"Kama haimeki mane, bhasi haimeki sensi"
Kwa sababu hatuna utamaduni wa kutamani maarifa mapya au data unless ni football inazungumziwa. Maana hapo ndipo watu hugeuka maestro wa kuchambua historia, mifumo na takwimu
Ila huku kwingine, tunajongea