Wa Israel wanakaribia kumchinja ng'ombe mwekundu. Ni ishara mbaya

Acha upuuzi,labda dunia ya waabudu mshetani ya middle east,kupitia dini za waarabu na wayahudi na wazungu.
 
Acha upuuzi,labda dunia ya waabudu mshetani ya middle east,kupitia dini za waarabu na wayahudi na wazungu.
Shida zao wanataka kusambaza kwa wengine,,,watajua wenyewe na mambo wanayofanya hata huo mwisho wa dunia ni wa kwao wenyewe,,,,dunia ipo miaka mingi kabla hata ya hizo imani zao
 
Na
Yesu ndio njia ya kweli na uzima. Usipomkiri Yesu kristo mbingu huioni. Na huu ndio ukweli
Ila dunia ijaandae kwa vita maana waarabu hawatakubali al aqsa ibomolewe kirahisi
 
Ni ishara nzuri kwa wakristo halisi
 
Acheni hizo...Israel ni makatili dhidi ya wapalestina ili mabeberu wadhibiti ushawishi ktk uchumi wa mafuta wa Mshariki ya kati. Waisraeli wenyewe kwa 99% sio wakristo huku wakristu wa bongo mnasema I stand with Israel hata kama wamelipua mabomu shule na hospitali huko Gaza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…