Wa Israel wanakaribia kumchinja ng'ombe mwekundu. Ni ishara mbaya

Wa Israel wanakaribia kumchinja ng'ombe mwekundu. Ni ishara mbaya

Kabla ya Ujenzi wa hekalu La Suleiman, Mambo yafatayo yanatangulia kwanza

1) Kutoa sadaka ya ng'ombe mwekundu.
2) Hii sadaka ni kwa ajili ya kutakasa eneo la Ujenzi wa hekalu.
3) Tayari wa Israel wanakaribia kumchinja huyu ng'ombe
4) Kunyakuliwa kwa kanisa
5) Ubomowaji wa msikiti wa alqsa

Baada ya kumchinja huyu ng'ombe, majivu yake yatatumika kwa ajili ya kutakasa eneo la Ujenzi wa hekalu. Unaweza soma (Hesabu 19)

Ndugu zangu tuko Mwishoni kabisa mwa dunia. Hatupo mbali Sana ni hili tukio. Hali ya dunia itakuwa mbaya Sana, Sana. Tubu. Mtafute Yesu
Acha upuuzi,labda dunia ya waabudu mshetani ya middle east,kupitia dini za waarabu na wayahudi na wazungu.
 
Acha upuuzi,labda dunia ya waabudu mshetani ya middle east,kupitia dini za waarabu na wayahudi na wazungu.
Shida zao wanataka kusambaza kwa wengine,,,watajua wenyewe na mambo wanayofanya hata huo mwisho wa dunia ni wa kwao wenyewe,,,,dunia ipo miaka mingi kabla hata ya hizo imani zao
 
IMG_5277.png
IMG_5277.png
 
Na
Kabla ya Ujenzi wa hekalu La Suleiman, Mambo yafatayo yanatangulia kwanza

1) Kutoa sadaka ya ng'ombe mwekundu.
2) Hii sadaka ni kwa ajili ya kutakasa eneo la Ujenzi wa hekalu.
3) Tayari wa Israel wanakaribia kumchinja huyu ng'ombe
4) Kunyakuliwa kwa kanisa
5) Ubomowaji wa msikiti wa alqsa

Baada ya kumchinja huyu ng'ombe, majivu yake yatatumika kwa ajili ya kutakasa eneo la Ujenzi wa hekalu. Unaweza soma (Hesabu 19)

Ndugu zangu tuko Mwishoni kabisa mwa dunia. Hatupo mbali Sana ni hili tukio. Hali ya dunia itakuwa mbaya Sana, Sana. Tubu. Mtafute Yesu
Yesu ndio njia ya kweli na uzima. Usipomkiri Yesu kristo mbingu huioni. Na huu ndio ukweli
Ila dunia ijaandae kwa vita maana waarabu hawatakubali al aqsa ibomolewe kirahisi
 
Acheni hizo...Israel ni makatili dhidi ya wapalestina ili mabeberu wadhibiti ushawishi ktk uchumi wa mafuta wa Mshariki ya kati. Waisraeli wenyewe kwa 99% sio wakristo huku wakristu wa bongo mnasema I stand with Israel hata kama wamelipua mabomu shule na hospitali huko Gaza
 
Back
Top Bottom