Kuna mambo hayana tija. Katika hayo ni pamoja na kukiri kuhusika na shambulizi au madhara ya shambulizi yanapowakuta.
Nani asiyejua kuwa wao wanazidiwa mno rasilimali?
Kwamba kuwaunga mkono ni wajibu, si kwa sababu ya ubabe wao bali kwa kuwa ni wahanga wa udhwalimu wanaofanyiwa.
Sasa hili la kumteua Sinwar au awaye yote kuwa shabaha zaidi ya madhwalimu Iina tija gani?
Kwamba wana uhakika gani kuwa Sinwar hata hicho cheo atapata kukitumikia wapi?
Kwenye ukweli na uwazi wao labda katika imani zao, mara zingine hawa ndugu wanaramba garasa.
Ukombozi kwanza vyeo vizito vizito hivi vya nini?