- Thread starter
- #21
Sinwar anataarifa kwamba Haniye ameuawa na kwamba yeye ndiye amechaguliwa kuiongoza HAMAS?
Yaweza kuwa hana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sinwar anataarifa kwamba Haniye ameuawa na kwamba yeye ndiye amechaguliwa kuiongoza HAMAS?
Hizo ni medani za kivita huwezi kuelewa kama hujacheza hata mgambo
HanaSinwar anataarifa kwamba Haniye ameuawa na kwamba yeye ndiye amechaguliwa kuiongoza HAMAS?
We bado mdogo iko siku utaelewa.Kumbe wewe Colonel unayezielewa mno uliwahi kufanyiza nazo wapi?
Au chumbani ukikomaa kikamanda, kukunja ngumi na kuzungusha?
Makamanda uchwara kwa kijifanta wajuzi huku wamepiga magoti wanaomba katiba mpya.
Kumbe cheche zenu ziko wapi?
Hilo neno "madhwalimu" maana yake ni nini mkuu?Kuna mambo hayana tija. Katika hayo ni pamoja na kukiri kuhusika na shambulizi au madhara ya shambulizi yanapowakuta.
Nani asiyejua kuwa wao wanazidiwa mno rasilimali?
Kwamba kuwaunga mkono ni wajibu, si kwa sababu ya ubabe wao bali kwa kuwa ni wahanga wa udhwalimu wanaofanyiwa.
View attachment 3063488
Sasa hii la kumteua Sinwar au awaye yote kuwa shabaha zaidi ya madhwalimu Iina tija gani?
Kwamba wana uhakika gani kuwa Sinwar hata hicho cheo atapata kukitumikia wapi?
Kwenye ukweli na uwazi wao labda katika imani zao, mara zingine hawa ndugu wanaramba garasa.
Ukombozi kwanza vyeo vizito vizito hivi vya nini?
Kwamba hamas isingekua tena na kiongoziMkuu HAMAS ni taasisi kubwa na hii:
View attachment 3063540
ilikuwa j*mba j*mba tosha sana kwa msayuni.
Wavaa pempas hamjioni🤔Wavaa kobazi hupenda sifa za kijinga. Watamdinya tuu huyu.
Mwamba leo una jambo🤣🤣🤣Kumbe wewe Colonel unayezielewa mno uliwahi kufanyiza nazo wapi?
Au chumbani ukikomaa kikamanda, kukunja ngumi na kuzungusha?
Makamanda uchwara kwa kijifanta wajuzi huku wamepiga magoti wanaomba katiba mpya.
Kumbe cheche zenu ziko wapi?
Ww muoga TU hv ww ungekuwa hania hata misibani usingeenda huyo amechaguliwa na atafanyakzi zake kama kawaida kufa kila mtu atakufa
We bado mdogo iko siku utaelewa.
Huwa na tofautiana sana tu na mleta mada, ila ukimsoma vizuri andiko lake kuna hoja ambayo wengi hamuioni. Katika andiko hili amedhibiti kabisa hisia na ameongea objectively zaidi.Ilikua lazima hamas wachague kiongozi tena ndani ya muda mfupi hivi wamefanya lamaana
Kwanza wameonesha kwamba hamas ni taasisi kubwa kifo cha haniye kimeleta pigo ila hakijaifanya hamas kushindwa kuendelea na majambo yake
Pia imeonesha kwamba hamas wana utaratibu wao kwamba akifa fulani ama ikitokea kashindwa kuongoza basi mbadala yupo ama wapo wakutosha
Pia hamas wanatukumbusha kwamba kila sehemu lazima kuwepo na kiongozi ili majambo yaende
Mwisho sio tu hamas hata lingekua kundi jengine lolote kama lingekua na misingi imara na thabiti kama iliyonayo hamas ni lazima wangechagua kiongozi baada ya muda mfupi kama walivyofanya hamas
Mazayuni mpaka yateme bungo safari hii
Sinwar si mtu wa kuwekwa public, huyu mtu amefanikiwa kujificha kwa muda mrefu now wana mu expose? This guysKuna mambo hayana tija. Katika hayo ni pamoja na kukiri kuhusika na shambulizi au madhara ya shambulizi yanapowakuta.
Nani asiyejua kuwa wao wanazidiwa mno rasilimali?
Kwamba kuwaunga mkono ni wajibu, si kwa sababu ya ubabe wao bali kwa kuwa ni wahanga wa udhwalimu wanaofanyiwa.
View attachment 3063488
Sasa hii la kumteua Sinwar au awaye yote kuwa shabaha zaidi ya madhwalimu Iina tija gani?
Kwamba wana uhakika gani kuwa Sinwar hata hicho cheo atapata kukitumikia wapi?
Kwenye ukweli na uwazi wao labda katika imani zao, mara zingine hawa ndugu wanaramba garasa.
Ukombozi kwanza vyeo vizito vizito hivi vya nini?
Ungelikuwa katika situation ya Gaza, Hamas na Palestine kwa ujumla usingeliandika hiki.Hawa watu wangechagua kuijenga ga,a na kuleta maendelea kwa misaada wanayopata wangekuwa mbali sana.Wao kwa kukosa akili wakachagua kuchimba mahandaki na kufanya harakati.Gaza ingekuwa zaidi ya dubai kama wasingekuwa magaidi
Ulitaka chama kiendeshwe bila uongozi ? Kwa kipindi gani haswa ?Kuna mambo hayana tija. Katika hayo ni pamoja na kukiri kuhusika na shambulizi au madhara ya shambulizi yanapowakuta.
Nani asiyejua kuwa wao wanazidiwa mno rasilimali?
Kwamba kuwaunga mkono ni wajibu, si kwa sababu ya ubabe wao bali kwa kuwa ni wahanga wa udhwalimu wanaofanyiwa.
View attachment 3063488
Sasa hii la kumteua Sinwar au awaye yote kuwa shabaha zaidi ya madhwalimu Iina tija gani?
Kwamba wana uhakika gani kuwa Sinwar hata hicho cheo atapata kukitumikia wapi?
Kwenye ukweli na uwazi wao labda katika imani zao, mara zingine hawa ndugu wanaramba garasa.
Ukombozi kwanza vyeo vizito vizito hivi vya nini?
Madogo wa siku hizi tumewalea wenyewe ila mnatupiga mikwara mabraza zenuEndelea kupiga magoti mama karibu anakupa katiba. Kibiongo chako amekiona.
Hoja ipi ?Huwa na tofautiana sana tu na mleta mada, ila ukimsoma vizuri andiko lake kuna hoja ambayo wengi hamuioni. Katika andiko hili amedhibiti kabisa hisia na ameongea objectively zaidi.
Hata mie namuona pia kama anahoja sanaHuwa na tofautiana sana tu na mleta mada, ila ukimsoma vizuri andiko lake kuna hoja ambayo wengi hamuioni. Katika andiko hili amedhibiti kabisa hisia na ameongea objectively zaidi.
Kwa nini si mtu wa kuwekwa public ?Sinwar si mtu wa kuwekwa public, huyu mtu amefanikiwa kujificha kwa muda mrefu now wana mu expose? This guys