Mzee Kigogo
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 9,968
- 16,680
Gaza ni Taifa?! Liliundwa mwaka gani?Unaandika tu bila kufanya kiutafiti japo kidogo!
Unajua Gaza imekuwa under siege kwa miaka mingapi?
Yaani Gaza hawakuruhusiwa na Israel kujenga hata kiwanja cha ndege,kwamba wakitaka kusafiri kwenda nje inabidi waende Misri ndio wasafiri kutokea huko!
Kila kilichokuwa kinaingia Gaza,lazima kiidhinishwe na Israel!
Sasa kama taifa,mnapangiwa mambo yenu na taifa lingine,kuna maendeleo hapo?
Ukipata muda,soma hapa;