Wa kumrithi Hanniyeh, HAMAS wangeuchuna ingewapunguzia nini?

Wa kumrithi Hanniyeh, HAMAS wangeuchuna ingewapunguzia nini?

Kwamba wameamua kumpa Israel points zingine 3 karibuni. Of all the people huyu ndugu yuko Gaza?

Kwamba hata atafikaje Qatari?!
Afuate nini!? Mazungumzo ni mbinu ya Pakagaidi kupoteza muda, muongozo wakumaliza vita ulishatolewa na Marekani na hamas wameukubali kinachosubiriwa ni Israel kuanza utekelezaji na Hamas wafuatie.
 
Huyu hata asingelichaguliwa mwendo alishaumaliza. Alishakuwa target sikunyingi kwani hata vita inayoendelea yeye ndo mastermind wa lile shambulizi la october 7 . Ndo maana wakaamua iwe yeye. Wangemueka mwingine ingekuwa kuongeza number tu. Wako sahihi
 
Huenda hata akawa ni mfu tayari
 
Kuna mambo hayana tija. Katika hayo ni pamoja na kukiri kuhusika na shambulizi au madhara ya shambulizi yanapowakuta.

Nani asiyejua kuwa wao wanazidiwa mno rasilimali?

Kwamba kuwaunga mkono ni wajibu, si kwa sababu ya ubabe wao bali kwa kuwa ni wahanga wa udhwalimu wanaofanyiwa.

View attachment 3063488

Sasa hii la kumteua Sinwar au awaye yote kuwa shabaha zaidi ya madhwalimu Iina tija gani?

Kwamba wana uhakika gani kuwa Sinwar hata hicho cheo atapata kukitumikia wapi?

Kwenye ukweli na uwazi wao labda katika imani zao, mara zingine hawa ndugu wanaramba garasa.

Ukombozi kwanza vyeo vizito vizito hivi vya nini?
Hahahaha hawa ndiyo Watanzania yaani ulivyo kunguru unadhani Hamas kama wewe na uoga wako wa kijinga nyie ndiyo mnataka kuitoa CCM madarakani.

Hamas ndiyo utaratibu wao vyeo vya kila akifa kuna wakuchukua nafasi kutoka kwa muasisi wao Sheikh Yasin.

Hawa viongozi wa Hamas wote wamezaliwa viwanja vya vita kwenye kambi za wakimbizi.

View: https://x.com/revmaxxing/status/1821054202707165216?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Ndugu miye si kunguru. Kunguru hawako humu:

IMG_20240807_102247.jpg

Sisi tuko humo. Wewe umo humo au wewe ni wa vyeo?

Yahya Sinwar shujaa kama alivyo hivi vyeo hakuwa na haja navyo kama alivyokuwa Hanniyeh aliyekuwa kajitoa kufa siku zote.

Usisome kama kasuku soma kati ya mistari kuona.

Hatuwezi kupigana kama wajinga.
 
Soon sinwar nae anaenda kujitwalia mabikira zake 72 na mito ya pombe huko akhera.
R.i.p in advance
 
Back
Top Bottom