kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 15,188
- 18,583
Atajwe au asitajwe angefahamika pasipo shaka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atajwe au asitajwe angefahamika pasipo shaka
Hamas imebakia historia 😄johnthebaptist yale mambo yetu
Waoga sana hao 😄😄
Waoga sana hao 😄😄
Mtamalizana wenyewe kupitia Ayatollah Khamenei 😂😂Humo na wengine tumo.
Nasi tunajua waoga humo hatumo ndugu.
Swali la msingi atatumaliza?
Usifikiri ni Wajinga!
Anaweza asiwe yeye! Au anaweza awe yeye lakini jina lake lisiwe halisi.
Wacha Magaidi yajichanganye yaendelee kupigwa.Kuna mambo hayana tija.
unapoandika ishirikishe na akili yako , anasacrifice kwa kujificha huko Qatar?Kwahyo ulivyomuoga ww unafikiri na wengine pia waoga Kuna watu Wana sacrifice maisha yao kwa ajili ya nchi yao hawana Cha kuogopa ww hapo ulipo hata nchi yako ikiingia vitani utajificha kwenda front
Kwenu ambao sio magaidi mumeendelea wapi licha yakupewa misaada mlopewa na mnayoendelea kupewaHawa watu wangechagua kuijenga ga,a na kuleta maendelea kwa misaada wanayopata wangekuwa mbali sana.Wao kwa kukosa akili wakachagua kuchimba mahandaki na kufanya harakati.Gaza ingekuwa zaidi ya dubai kama wasingekuwa magaidi
Kumbe wewe kamanda jasiri umekomaa wapi na ngumi yako... 😂😂😂😂
Umenikumbusha wale waliokuwa wanasema bora Zelenskyy angenyoosha mikono tu amkabidhi Putin nchi yake ya Ukraine.Kuna mambo hayana tija. Katika hayo ni pamoja na kukiri kuhusika na shambulizi au madhara ya shambulizi yanapowakuta.
Nani asiyejua kuwa wao wanazidiwa mno rasilimali?
Kwamba kuwaunga mkono ni wajibu, si kwa sababu ya ubabe wao bali kwa kuwa ni wahanga wa udhwalimu wanaofanyiwa.
View attachment 3063488
Sasa hii la kumteua Sinwar au awaye yote kuwa shabaha zaidi ya madhwalimu Iina tija gani?
Kwamba wana uhakika gani kuwa Sinwar hata hicho cheo atapata kukitumikia wapi?
Kwenye ukweli na uwazi wao labda katika imani zao, mara zingine hawa ndugu wanaramba garasa.
Ukombozi kwanza vyeo vizito vizito hivi vya nini?
Israel imeapa kumuangamiza na yeye.Kwahyo ulivyomuoga ww unafikiri na wengine pia waoga Kuna watu Wana sacrifice maisha yao kwa ajili ya nchi yao hawana Cha kuogopa ww hapo ulipo hata nchi yako ikiingia vitani utajificha kwenda front