Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Sijakosea kuwa na shemeji yenu niliye naye sasa, ananifanya nijiFeel happy.

happy ni bint niliyempenda sana wakati nikiwa form six alivyoenda kwa likizo hakurudi tena,nahisi huyo ndio umeoa wewe.
 
sequence kudadeki inakua ngumu sana katika huu mchezo, mana mijitu mingine inakuja iko pombe
Yangu ndio ilitakiwa kuanza,
Lakini mijitu chini yako ikaja ikaharibu sequence!!
 
Shaka ondoeni mshindi nimeshapatikana, Mimi ndo wamwisho na kuanzia sasa yeyote anayechangia baada ya hapa anakubali kuwa mimi nimemzidi akili.
 
Aibu kubwa zaidi ni kuhudhuria mkutano wa family planning wakati madaktari wamegoma
 
Back
Top Bottom