pe.livinuu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2013
- 502
- 114
chalii wa wapi huyu hapendi musiki?
basi itakuwa hajui utamu wake huyo
Huyo halafu atakuwa ni mmasai bila shaka
Shakazulu hivi alifariki mwaka gani?
Mawazo yanasababisha stress
stress zingine ni nouma!!
tufahamishane kuwa asili ya dar ni nini?
nini kinazungumziwa hapa?
Mawazo mgando ya viongozi wa ccm yametufikisha hapa leo hii!lock haitoki bar ladba upunguze mawazo
Mama ni kila kitu kwangu
kwangu kuna party