Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

off side player ni mtu aliyembele ya mpira ktk football. sasa hamjibu ng'o
 
Habari wana jf, naomba tucheze mchezo unaitwa "wa mwisho ndo mshindi"......... Ni mchezo rahisi sana, unaanzisha sentensi kwenye neno la mwisho la sentensi aloandika mwenzako..

Mfano:

Ualimu tanzania ni kazi ngumu kiasi

kiasi ambacho kama hukuzoea maisha ya tabu, utalalama kila siku

siku uianze vizuri bwana, ukiianza vibaya lazima utukane mwenzio

mwenzio ni mtu ambaye mnaweka hisia zenu pamoja bila kusalitiana kama dr. Ulimboka na madkatari

madaktari wa tanzania wanahitaji kulipwa zaidi. Zaidi ya hapo mnakaribisha vifo vingi ambavyo vinatokana na uzumbe kazini. ................... (tuendelee kwa mtindo huo wana jf, wa mwisho ndo winner.. Karibuni sana)
 
Back
Top Bottom