wapalepale
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 259
- 58
Sana sana inatumika mashambani..
"Nlikuwepo":bolt:
Hiki kipindi kwa green city ni mvua tu
Tumwombe Mungu hata huku desert city inyeshe.
Pili ni msichana mrembo asiye penda makuu!.
Atajisikia vizuri iwapo utaendeleza mtiririko wenye kuleta maana
Kamwe usiharibu mtiririko wa maneno sio vizur unatukata stimuushaharibu maisha huwezi kuendelea kamwe.
sana+a= sanaa:focus:Stimu zikipanda huwa ni raha sana