Uvivu bwana.. we suri sentensi zako zote mbili umevuruga utaratibu loh.. sa sijui ni uvivu au uzembe...
network ilikata so i didnt see my post, pole cheupe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uvivu bwana.. we suri sentensi zako zote mbili umevuruga utaratibu loh.. sa sijui ni uvivu au uzembe...
Tena na tena na tena
Posho posh posh...agriiiih nimechoka kusikia
kusikia nini wakati laki saba haiwatoshi
lock haitoki bar ladba upunguze mawazo
hiki nako kimbwanga...mmhh labda...lakn mbona sichekHabari wana jf, naomba tucheze mchezo unaitwa "wa mwisho ndo mshindi"......... Ni mchezo rahisi sana, unaanzisha sentensi kwenye neno la mwisho la sentensi aloandika mwenzako..
Mfano:
Ualimu tanzania ni kazi ngumu kiasi
kiasi ambacho kama hukuzoea maisha ya tabu, utalalama kila siku
siku uianze vizuri bwana, ukiianza vibaya lazima utukane mwenzio
mwenzio ni mtu ambaye mnaweka hisia zenu pamoja bila kusalitiana kama dr. Ulimboka na madkatari
madaktari wa tanzania wanahitaji kulipwa zaidi.................... (tuendelee kwa mtindo huo wana jf, wa mwisho ndo winner.. Karibuni sana)