Wa mwisho ndiyo mshindi

tu ni silabi ambayo yeye huitumia kila mwisho wa sentensi zake
 
Hebu kuwen serious kidogo eeh!! Wewe nelson nely, mankachara na cjui ADK mnaharibu rhythm ya mchezo, MNABOAAA!!
 
unupigwa ndo kitu gani.Umeamua kuishia neno gumu ili wewe ndo ushinde.Kwa Taarifa Yako Hushindi N'goo.Mshindi wa huu atakuwa SAYANSIKIMU.
 
SAYANSIKIMU ilikuwepo kwenye mtaala wa.elimu ya msingi miaka ya nyuma hivi baada ya mtaala kubadilishwa hili somo lilipona?
 
Last edited by a moderator:
Hebu kuwen serious kidogo eeh!! Wewe nelson nely, mankachara na cjui ADK mnaharibu rhythm ya mchezo, MNABOAAA!!
shikamoo mkuu bilionea masikini,ntajitahidi kuwa siriaz',lakini hii thread ilishavurugwa kitambo hadi nikakereka!rejea comment yangu ya mwanzo kabisa kwenye huu uzi,tulianza vizuri tu!haya tumeishia wapi?
 
Hebu kuwen serious kidogo eeh!! Wewe nelson nely, mankachara na cjui ADK mnaharibu rhythm ya mchezo, MNABOAAA!!
sasa mankachara kaharibu nini mkuu?alichofanya ni kuendeleza comment ya felinda!labda nilaumu mimi tu hapo,maana nakiri kweli nimetibua.
 
bungeni siendi tena bunge limekua la ovyo ni uchama kwanza badala ya utanzania kwanza na 2015 sipigi kura hadi sheria ya mgombea binafsi ipitishwe haya mambo ya uchama yanaiua tanzania yangu
 
Yangu macho, mchezo huu hautaoata mshindi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…