Kalicharan
Member
- Dec 20, 2012
- 98
- 13
kugegedana ndo mpango mzima
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
humu jf kwenye hii thread mimi ndo winnneeeerMzima au mgonjwa huwezi kumtambua humu JF
Heaven on Earth hamna k2 ka hiyo labda ww ni fremasor ndio wanaimani hyo na wataish hapa kwa miaka isiyozid 80, na wakifa watakiona coz lazima waende jehanam na moto ule ni kwa dunian ni miaka 1000, jehanam ni mwaka 1!
Mtoni anakaa mamba
Mamba moja alimezwaga na nyoka huko Australia.
Australia wanasaidia kutafita ndege ya malysia
Malaysia sijawahi kwenda wala sijui habari za hiyo nchi
Nchi hiyo watanzanie wengi wanaenda kupiga shule
Shule za huko kwani zina tofauti gani na hizi za kwetu.
Kwetu pazuri ni wimbo ambao ulibamba.
ulibamba kipindi hiko siku hizi umechuja
Umechuja lakini kwetu uswahili bado unabamba....
unabamba lakin hauzidi ngololo ya Diamond