Ovyo anamaanisha hujielewi
Hahaha kumbe ndio maana yake
Mmmh aya basi kweli siruhusiwi humu
humu unaruhusiwa jamani ndomana likaitwa jukwaa la jokes usipanik rafiki sawa kwanza napenda chalenji zako.
zako zmefichwa chn ya droo
Namm nilikuwa natania nione kama still "needed" humu
"Kanun" zpo wap?
tuzo alizopata Diamond,zinalipaisha jina lake kimataifatena nataka nikupe tuzo.
Kimataifa na hata kitaifa pia ndo maana umaarufu wake unazidi
Hapa JF sio sehemu sahihi ya kutafuta mke/mme