mme aliye muacha anamtamani tena
tena ndo mzuri.
Na "wewe" ndio pacha wake
wake anae mwenyewe.
Raha ya sheria zivunjwe na kuvunjika
Kuvunjika ni hatari kwa muungano wa Tanzania
Tanzania Nchi yangu, naipenda hainiishi hamu. Imejaaliwa Mali na Amani, popote duniani sipatamani. Mola ijaze ihsani na uilinde dhidi yao mahasidi
Mahasidi ni maandaz ambayo yamekaushwa kwa kuni
mazingira ni mazuri, ila pirate kanidanganya.
Kananidanganya ni sentensi huru isiyokuwa na kishaz shirikish