mankachara
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 6,152
- 3,473
Kishaz shirikish ni nini?
Nini unataka kufanya
Kuiva kwa nyama huua vijidudu kama minyoo
somalia ni nchi yenye majanga.
Umeisha? Umeishaje sasa? KWa sababu wadau wameanza kuongelea Amani huko Somalia basi we unatangaza mchezo umekwisha...na wasiwasi na Jina lako limefanana na mkuu wa Al-Shabab
Pirate ni mtu ambaye ajui kinachoendelea humu ndan Kwasabab kila mtu anasema yeye ni mshindi
Kusukuma ndio lugha ya aina gani... na mdori ndio nn
Kujua maswali nilokuuliza na maana yake...
yake imetoboka.