janeth1
JF-Expert Member
- Apr 4, 2014
- 2,151
- 768
Whole number
numba nzuri ni shufwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Whole number
numba nzuri ni shufwa.
numba ni nini?!!
nini unataka kwani wewe hujagundua kama mchapio huo?
Mchapio wa plaster?
plaster tena? Hapana bana sio.
sio kila ndio ina ndio kiundani ,sio, bali kuna ndio nyingine zimeambatana na utani
utani mwingine huendana na ukweli
ukweli kizazi hiki ni kitu kisichowezekana.
utani mwingine huendana na ukweli
Ukweli nao unauma
unauma kupita maelezo...
maelezo yako ni mazuri.
mazuri kama nini
nini vile...bana nimesahau.
hela niliyokununulia chupi
Chupi ni vazi la ndani
ndani ya nini? ya bukta au sketi