Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 9,164
- 18,402
Sketi siku hizi hazivaliwi na wadada
Wadada ndo nini? Sema madada
Madada ndio viumbe gani hao?
hao ni mimi na mdogo wangu, mam umepita uku utakutana na wakwe zako kijiweni.
Kijiweni hapa nimepapenda....kwa nini hukiniita tangu mwanzo?
Haya ni hali ya kuona aibu
aibu gani unaona mwanaume hahaahaa
kicheko cha amani.
kicheko cha amani.
Amani ni mtaji, ilindwe na itunzwe kwa gharama zote.
Real eyes, see Real Lies
Amani haiji katika umaskini!!
Umaskini ni tatizo katika bara la Africa
Africa kuna wanawake warembo asikwambie mtu!
mtu mwingine atabisha hilo.
Hilo mimi mwenyewe nabisha hata bara la ASIA wako wazur ni balaa
Balaa sasa unalitafuta wewe, nabii siku zote hakubaliki kwao