pe.livinuu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2013
- 502
- 114
Lao linawashinda letu wataliweza hao
Hao hawawezi lolote sana sasa ni kujishebedua
kujishebedua ni sifa mojawapo ya mwanamke
Mwanamke ninaye mpenda ni yule mnene wa wastani halafu mrefu kama mimi
mimi sio mnene kwa hiyo huwezi kunipenda......
mimi sio mnene kwa hiyo huwezi kunipenda......
Kunipenda mimi hainaga mpaka hata kama sio mnene unaweza tu kunipenda sana
Heaven on Earth natamani kukufahamuEaven on earth sio jina langu mi naitwa Heaven on Earth
Heaven on Earth natamani kukufahamu
Eaven on earth sio jina langu mi naitwa Heaven on Earth
kukufaham wewe sijawahi kujuta maishani
maishani mwangu namkubali Heaven,hasa kulekule kwa jana
Eti Heaven on Earth huyu TRIPLE H hajui rules
Eti Heaven on Earth huyu TRIPLE H hajui rules
(twende nae taratibu lol)
jana uliniona wapi
wapi?! si kulekule jukwaa la kina a.rahabu