Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

makini kama mm mapost kibao bila bila kwa mchongo huu hatapatikana mshindi hata miaka 800 na hii thread ni ya kiddish

Kiddish ndio nini mkuu? Hebu acha lugha za kihuni, kama ningekua Mode ningekupiga BAN
 
Kiddish ndio nini mkuu? Hebu acha lugha za kihuni, kama ningekua Mode ningekupiga BAN

Ban kwani ni lugha ya kihuni? Kidish kwa lugha nyepesi twaweza sema kitoto/utoto na nyingine nyingi.
 
nyingi ni kifupi cha nyingine, kumbe ndo maana ya kiddish? lugha ya kiingereza ni pana vibaya
 
Back
Top Bottom