bombu
JF-Expert Member
- Jun 8, 2011
- 1,127
- 542
american pie 3 ni bonge moja la movie
movie nyingi siku hizi zimechakachuliwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
american pie 3 ni bonge moja la movie
movie nyingi siku hizi zimechakachuliwa
Zimechakachuliwa zako.
kupunguzwa kwa rushwa kutawasaidia wananchi!
Zako, na zangu zote zimechakachuliwa. Kachunguze uone
Uone jinsi watu wanavyojua wizi
Uone jinsi watu wanavyojua wizi
Wizi haufai
Nzuri kuliko zote haipo
Haipo kwasababu hujaiona
Hujaiona kweli mbona nilileta?
niloleta sheria za hii thread ila wewe huzifatilii jamani.
Jamani wapi huko
huko juu angalia post zako za nyuma.....
Nyuma kumbe nilibugi.
nilibugi sana kukataa shule....
Shule ndo kila kitu.
kitu kilichonishinda ni adhabu za viboko