dodoma ombaomba ndipo kwao
kilimanjaro mlima mref balan africa
Wanataabika kwa kukosa elimu na kujiamini
kujiamini ni nguzo muhimu kama unataka kufanikiwa maishani
Maishani mwangu ni mungu pekee nimtegemeaye kwa kila jambo.
jambo forum lilitumika zamani kabla ya kubadilika kuwa Jamii forum ya leo.
Leo ndio mwisho wa uzi huu mgumu.
mgumu huu uzi lakini hauwezi kuisha leo wala kesho