Wa mwisho ndiyo mshindi

Uchumi wa nchi hii kila kukicha tunaambiwa unakua hata kama watu wanakula mlo mmoja kwa siku.
 
''nakufaaaaaaaa'' alisikika mvuta bange mmoja akibwatuka kwa shangwe hoi hoi na nderemo kedekede.
 
Kipindi kigumu katika maisha yetu ndipo tunamkumbuka Mungu....tuache unafiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…