Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

,
JF ni janga la kitaifa, hamkubali kuwa mimi ni wa mwisho na ndio mshindi wq mchezo huu?

Mchezo huu ili ushinde hutakiwi kuchapia, sasa hapo kwenye wq badala ya wa pamekukosesha ushindi...niache basi mimi niwe mshindi Mkuu
 
Kipaumbele kuuza wanawake wao ndo maana asilimia kubwa wanatumiwa vibaya
 
Vibaya vibaya vibaya kweli kweli

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
wanachakachua hata matokeo ya Urais wa chuo je Itakuaje wakipata nafasi ya kugombe uongozi mkubwa katika taifa
 
Taifa lililojaaliwa kila kitu lakin bado wananchi wake kimaisha hali bado tete
 
Back
Top Bottom