Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

kweli binadamu hatupendani..hii thread nimechangia miezi mitano iliyopita, nikajua ndo wa mwisho kumbe bado tu inaendelea.. Jamani acheni roho mbaya, niacheni niwe mshindi.
 
Mwilini? Hivi 'mwilini' kingereza au kiswahili..

Kiswahili au Kichina! Vyovyote vile, ila mijitu mingine inaboa kweli. Yenyewe ni kuweka mchanga kwenye pilau tu. Yaani kwenye haka kamchezo badala ya kufuata masharti, lijitu linaingia tu na kuandika vitu wala haliangalii wa mwisho ameandika nini ili aendeleze. Alafu pia naombeni muache huu uzi hapa. Mi ndo wa mwisho. MSHINDI NI MIMI, NUKTA na ASANTENI KWA USHIRIKI WENU, sasa utaona mtu asiye 'elewa' anaendelea kucomment, narudia, Game IMEISHA, na mimi ndo mshindi, NUKTA
 
Umeonaeeee.....
 
Nukta,nukta-mbili au koloni ( : ) hutumika kwenye Uakifishaji
 
Back
Top Bottom