Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Matusi ni nini jamani?? Nani alietofautisha matusi na maneno mazuri..? Alijuaje kama shikamoo ni salam na nyoko ni tusi???

Tusi ni aina ya neno lenye kukera ikiwa tu umetambua neno hilo kwa utashi wako. Kuna wengine hata salam anatambua ni tusi kwa kuwa tu limemvua heshima aitakayo.
 
Heshima aitakayo mwana JF popote alipo duniani ni kubwa si ndogo kama unavyoweza kuifikiria.
 
Moyo wa aliyekupenda kwa dhati muda wote unawaza lini atakuoa hata kama hajui wapi ataipata mahari.
 
Moyo wa aliyekupenda kwa dhati muda wote unawaza lini atakuoa hata kama hajui wapi ataipata mahari.

Mahari ni zawadi apewayo bint atakayeolewa, hutolewa kwa makubaliano hata baada ya ndoa, vijana msikimbie ndoa kwa sababu ya mahari
 
Mahari siku hizi wazazi wengi ndio wanafanya mtaji wao, ndio maana vijana tunaogopa kuoa zaid ya kudunga mimba
 
KABISA ndio kitu gani mahali, muolewaji ama ulitaka tukuelewe vipi?
 
Back
Top Bottom