First Born
JF-Expert Member
- Jul 11, 2011
- 5,312
- 1,475
Hivyo visimu vyenu msivitumie kuingia JF
Jf sio mahala pa kufanyia uhuni wenu wa ajabu ajabu..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivyo visimu vyenu msivitumie kuingia JF
Jf sio mahala pa kufanyia uhuni wenu wa ajabu ajabu..
ajabu ni neno linalotumika kuonyesha umoja wa kitu kisicho cha kawaida,wingi wake ni maajabu
Maajabu, yote yatishayo ndo huitwa hivyo.
Hivyo nasubiri wa mwisho kabisa halafu ndo nitacomment ili ni shinde.
Mimi mwenyewe nasubir kuwa wamwisho
,Yangu macho msije mkawatukana mpaka waanzilishi wa JF
,
JF ni janga la kitaifa, hamkubali kuwa mimi ni wa mwisho na ndio mshindi wq mchezo huu?
Mkuu wa wasafi classic Diamond the platinums anaishi na demu wake Wema bila kumlipia mahari
Tete ndiyo neno lenye maana gani? Mi sielewi
sielewi hii mada nani kaianzisha