Wa mwisho ndiyo mshindi

Escrow haina lolote ni mpango wa kuchafua nyota za watu siunajua uchaguzi unakaribia??
 
unakaribia ule muda wa wale mafundi wa kufunga watu kamba, tujiandae kupewa ahadi hewa zingine za miaka mingine mitano
 
unakaribia ule muda wa wale mafundi wa kufunga watu kamba, tujiandae kupewa ahadi hewa zingine za miaka mingine mitano

Mitano ni mingi sana, tunapaswa kua makini kwenye uchaguzi.
 
Uchaguzi unakaribia tujiepushe na league wanazoanzisha wanasiasa wa vyama vyote
 
Siku ya jana nilisikitishwa sana na vitendo walivyo fanyiwa waandamaji wa Cuf na polisi.
 
Polisi wenyewe legelege Wanawaonea wazee,watoto na wakina mama wakikutana na vidume wananywang'anywa bunduki na vipigo juu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…