Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Escrow haina lolote ni mpango wa kuchafua nyota za watu siunajua uchaguzi unakaribia??
 
unakaribia ule muda wa wale mafundi wa kufunga watu kamba, tujiandae kupewa ahadi hewa zingine za miaka mingine mitano
 
Siku ya jana nilisikitishwa sana na vitendo walivyo fanyiwa waandamaji wa Cuf na polisi.
 
Polisi wenyewe legelege Wanawaonea wazee,watoto na wakina mama wakikutana na vidume wananywang'anywa bunduki na vipigo juu
 
Back
Top Bottom