Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Kweupeee, sijui Wanadhani atuelewi? Sijui wanatuonaje?? Nawachukia sana tigo na Voda wanatuibia.
 
Vodashop na simu zao pamoja na tgo tupa kule .......bora tuamie Airtel, tuombe nao wasibadilike
 
Airtel nao utasikia 499 hadi 1500 unaambulia 6MB.. Kwanini wanatutendea mambo haya??
 
Haya na wewe unaharbu uzi.? Ondoa ccm upate 5gb kwa tsh 100
 
Back
Top Bottom