Precise Pangolin
JF-Expert Member
- Jan 4, 2012
- 13,010
- 6,678
Mtiririko ni vyema ukawa wa kueleweka
dhaifu chadema imeshindwa kuiondoa ccm madarakaniUmasikini umeletwa na serikali ya ccm dhaifu
Ajari zinatokea kwa uzembe wa madereva na ubovu wa miundo mbinu
Miundombinu iboreshwe kila sehemu
sehemi nyng za Tanzania hazipitiki kipindi chote cha mwaka.
sana sana alivypigwa misumali