Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Shwari ni muhimu jamani shari si busara. Usiku mwema jamani Mshindi kapatikana!
 
Kapatikana tayari,ni wewe hapo Mwana.Kwangu kumekucha,niwatakieni siku njema
cc Mwana & b5-click
Shwari ni muhimu jamani shari si busara. Usiku mwema jamani Mshindi kapatikana!
 
Click komputa yako utaona inakwambia kwamba mimi ndo mshindi....Mkokluriaksowoper:becky:ghd
 
Kufisidi mali ya umma si jambo jema kwa mtu aliye mzalendo na nchi yake! Hata maanadiko yanakataza.
 
Akili unaweza ukawa nayo afu ukashindwa kuitumia! Watu wanafisidi hadi ndoa zao!
 
Back
Top Bottom