Sio kweli.. pepsin ni mtwasi wangu, tuna hisa sawa na malaika wetu ameridhia
Heaven on Earth upo?
Mtwasi b5-click nipo mkuu,tatizo huku field internet inasumbua.
Asante kwa kuendelea kumtunza #Mwana maana yeye ni moyo wangu!
Kinehe ngosha b5-click na kinehe mayo Mwana! (kinehe=vipi huku kwa wasukuma)
Pepsin unazingua unavunja kanuni za mchezo
Pepsin unazingua unavunja kanuni za mchezo
Mchezo unaheshimika,wakati natype na mwingine i.e wewe ulikuwa unatype ila ukaniwahi kupost