pepsin
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 3,480
- 6,162
Mwenzio ni natamani rais wa Tz awe Tundu LissuKiaje kilochofikia mwisho kitaanzia kwa mwenzio!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwenzio ni natamani rais wa Tz awe Tundu LissuKiaje kilochofikia mwisho kitaanzia kwa mwenzio!!
Mwenzio ni natamani rais wa Tz awe Tundu Lissu
Kutosha hazikumtosha ndio maana alitoka salamaLissu haitawezekana wajamaa walimpa shaba za kutosha.
kiaje kivipi wakati alitoka salamaSalama kiaje?
Salama, ok
Lodge zote za mbugani Zina Bei mbaya kwa watalii...Ok mrembo hivi tunaweza kutana san siro lodge?
Watalii wa nje ya bara au hadi Africa?Lodge zote za mbugani Zina Bei mbaya kwa watalii...
Africa Ina Rasilimali nyingi ila bado hainufaishi umma wake Masikini...Watalii wa nje ya bara au hadi Africa?
Kweli nakutakia happiness na mustakbali Muruwa!!Masikini kweli
Muruwa?Kweli nakutakia happiness na mustakbali Muruwa!!
Muruwa akimaanisha mzuriMuruwa?
Mzuri ... Thanks for the explanation!Muruwa akimaanisha mzuri
Explains za maneno ya kiswaili yanatokana kwa kiarabu.Mzuri ... Thanks for the explanation!
Kiarabu nacho ni lugha tu,kama zilivyo lugha zingine.Explains za maneno ya kiswaili yanatokana kwa kiarabu.
Kiarabu?Explains za maneno ya kiswaili yanatokana kwa kiarabu.
Kiarabu ndiyo baba mkubwa wa mwana kiswaili..Kiarabu?
Kiswahili lugha ya taifaa ya taifaײKiarabu ndiyo baba mkubwa wa mwana kiswaili..