Chezamomo
Senior Member
- May 25, 2019
- 112
- 107
Paka siku hizi hawapendi kula panyaMende tu,kuna mwanaume alilala nje kisa ndani aliingia mtoto wa paka
Wanapenda Kula visigino vya binadamu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Paka siku hizi hawapendi kula panyaMende tu,kuna mwanaume alilala nje kisa ndani aliingia mtoto wa paka
binadamu wa miaka hii utu umepoteaPaka siku hizi hawapendi kula panya
Wanapenda Kula visigino vya binadamu
Umepotea sana utamaduni wetu na tunakumbatia tamaduni za watu wenginebinadamu wa miaka hii utu umepotea
Wengine hawajui kuwa Dunia ni sayariUmepotea sana utamaduni wetu na tunakumbatia tamaduni za watu wengine
Nalog off
Sayari ya Zuhura nasikia kuna baridi sana.Wengine hawajui kuwa Dunia ni sayari
Sana Sana watu wafupi ni wabishi kweli kweliSayari ya Zuhura nasikia kuna baridi sana.
Nalog off
Mmmmmh!! Umenichosha haswa!!
haswa kwa kua hajafuata matakwa ya huu uziMmmmmh!! Umenichosha haswa!!
Uzi mrefu na ndoano imepinda ututamroajee Samaki?haswa kwa kua hajafuata matakwa ya huu uzi
Samaki,wamasai tunaita singiri.Uzi mrefu na ndoano imepinda ututamroajee Samaki?
Inakuangalia bila aibu.Samaki,wamasai tunaita singiri.
Hicho kamududu sisi hapana kula,takulaje kitu inakuangalia.
Aibu hakuna kwa mabinti wa sasaInakuangalia bila aibu.
Nalog off
Sasa dunia imebadilika sio Kama zamaniAibu hakuna kwa mabinti wa sasa
Zamani nipokuwa nikimuona demu nakimbiaSasa dunia imebadilika sio Kama zamani
Nakimbia ninaposikia demu ana ukimwiZamani nipokuwa nikimuona demu nakimbia
Ukimwi utibiwe kwa ushirikiano...Nakimbia ninaposikia demu ana ukimwi
Ishirikiano kwenye tendo la ndo ni muhimu sana
ushirikiano wa Tz na China unazidkukua...¿cjui wao co mabeberu?Isomeke ushirikiano