The Humble Dreamer
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 7,574
- 10,598
Mazao ya huko yapo juu kwa beiMorogoro NI mkoa ukiyobobea ardhi yenye rutuba na mazao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mazao ya huko yapo juu kwa beiMorogoro NI mkoa ukiyobobea ardhi yenye rutuba na mazao.
Bei ya vifaa vya ujenzi hupanda na kushuka kwa sbb ya uagizaji !!Mazao ya huko yapo juu kwa bei
Uagizaji bidhaa nje ya nchi ni gharamaBei ya vifaa vya ujenzi hupanda na kushuka kwa sbb ya uagizaji !!
Gharama haikwepeki hadi tutakapo Jenga mfumo wetu wa Viwanda..Uagizaji bidhaa nje ya nchi ni gharama
Viwanda gani hivyo?Gharama haikwepeki hadi tutakapo Jenga mfumo wetu wa Viwanda..
Hivyo sote tukichangamkia fursa za uwekezaji?Viwanda gani hivyo?
Uwekezaji utiliwe mkazo ili kutoa ajira kwa vijanaHivyo sote tukichangamkia fursa za uwekezaji?
Vijana wa sasa wanapenda mafanikio ya harakaUwekezaji utiliwe mkazo ili kutoa ajira kwa vijana
Hivi wewe ndgyetu hujasoma masharti ya mchezo Huu uendavo?Ukimwi umetulia kama haupo hivi.
Wetu wajukuu pamoja na vitukuuuendavyo huu mchezo watacheza hadi wajukuu wetu
Vitukuu hadi VilembweWetu wajukuu pamoja na vitukuu
Vilembwe mpaka VilembwekezeVitukuu hadi Vilembwe
Vilembwe mpaka Vilembwekeze
Vining'ina huwa havina uchungu na mali iliyochumwa na babu wa babuVilembwekeze mpaka Vining'ina
Babu yake babu alikuwa hamkubali jiweVining'ina huwa havina uchungu na mali iliyochumwa na babu wa babu
Jiwe kweli ni JIWEIr
Babu yake babu alikuwa hamkubali jiwe
Nalog off
Jiwe ndiyo linajenga kizingiti imara !!Jiwe kweli ni JIWE
imara lakini siyo cha kiutuJiwe ndiyo linajenga kizingiti imara !!