miminimkulimaakachekasana
JF-Expert Member
- May 29, 2017
- 3,263
- 4,730
facebook michosho verification za ajabu wanazifanyia account mpyaTwitter wajanja wengi wanaitumia kuliko facebook
Nalog off
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
facebook michosho verification za ajabu wanazifanyia account mpyaTwitter wajanja wengi wanaitumia kuliko facebook
Nalog off
Mpya zinaibuka kila leofacebook michosho verification za ajabu wanazifanyia account mpya
Mpya zinaibuka kila leo
Jumatatu inachukiwa na GarfieldLeo ni siku ya jumatatu
Garfield katuni pendwa
Kesho kisulisuli
Kisulisuli kimenipeleka kwa madem wa bugurun kimboka
hahaha umekosea bhana spelling...za hilo neno.Nvjdvn tukajiandikishe
Neno laweza kuwa sumu au asari hivyo litafakari kabla hujalitoa kwani likishatoka haliwezi kurudi tena mdomonihahaha umekosea bhana spelling...za hilo neno.
hahaha umekosea bhana spelling...za hilo neno.
Hukuzingatia somo la hesabu shule ya msingiNeno kukosea linakusu wewe pia vigezo na masharti hukuzingatia
Msingi wa elimu ni shule za awaliHukuzingatia somo la hesabu shule ya msingi
Awali sikujua kama kipimo cha mapenz ni mfukoMsingi wa elimu ni shule za awali
mfuko gani?Awali sikujua kama kipimo cha mapenz ni mfuko
mfuko gani?
We ndo mshindi [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] eti mfuko gani we jamaa
Jamaa ww mbona hujaweza kwenda na uzi
Ndala Fc jana kagongwa 2-1 na waarabuUzi mweupe ni imara kushonea ndala