osmaney
JF-Expert Member
- Jan 18, 2017
- 1,042
- 998
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haraka haraka haina baraka mkuu angalia usijikwae
Haraka haraka haina baraka mkuu angalia usijikwae
Yake yeye ni makali ila huwa anapaka wanjaUsijikwae labda wewe mi Niko makini embu niache tu nitizame macho yake
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanja sio wanja sijui ni kungu ile daah ila macho ya lenie ni mazuriYake yeye ni makali ila huwa anapaka wanja
cₐᵣₑₑₘ ᵀʰᵉ ᴸᵉᵍᵉⁿᴰ
cₐᵣₑₑₘ ᵀʰᵉ ᴸᵉᵍᵉⁿᴰ
cₐᵣₑₑₘ ᵀʰᵉ ᴸᵉᵍᵉⁿᴰ
Mazuri sana, ulijuaje kuwa namwongelea Lenie?Wanja sio wanja sijui ni kungu ile daah ila macho ya lenie ni mazuri
Sent using Jamii Forums mobile app
Mazuri kwako, kwa wengine ya kawaida sana
Sana kivipi utajuaje kwao ni kawaida ?ana macho mazuri lenieMazuri kwako, kwa wengine ya kawaida sana
Nini lakini unarudia rudia maneno? Au ndo pombe inakufanya hivyo?
Nini lakini unarudia rudia maneno? Au ndo pombe inakufanya hivyo?
Sent using Jamii Forums mobile app