Foxhound
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 28,710
- 76,243
Mazuri kweli au picha tu
ᴸᵉᵍᵉⁿᵈᵃʳʸ [emoji377]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mazuri kweli au picha tu
Hyo picha inadanganya kinoma
Kinoma mno,usipokua makin unaingizwa mjiniHyo picha inadanganya kinoma
ᴸᵉᵍᵉⁿᵈᵃʳʸ [emoji377]
Mjini nipo kitambo sana
Sana sana atakwambia ni picha ila hatuzungumzii picha kiuhalisia ana macho mazuriMjini nipo kitambo sana
ᴸᵉᵍᵉⁿᵈᵃʳʸ [emoji377]
Mazuri sana haya matundaSana sana atakwambia ni picha ila hatuzungumzii picha kiuhalisia ana macho mazuri
Sent using Jamii Forums mobile app
Matunda gani unayapenda?
Unayapenda? Me sjui nayaona vipiMatunda gani unayapenda?
ᴸᵉᵍᵉⁿᵈᵃʳʸ [emoji377]
Siri ya mtungi aijuaye kataMazuri ya Swahiba ni kukufichia siri...
Morning yenye Baraka kwa wanaJF wote bila kumsahau...Monday morning
ᴸᵉᵍᵉⁿᵈᵃʳʸ [emoji377]
Bila kumsahau nani huyo ? MkuuMorning yenye Baraka kwa wanaJF wote bila kumsahau...