The Humble Dreamer
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 7,574
- 10,598
Mazuri kivip wakati hela hakunaLakini mwaka huu mambo yatakua mazuri
Wengine wanaigiza tu
Wanaigiza tu lakin hawamfikii lenie kwa macho mazuriWengine wanaigiza tu
Mazuri kivipi weka picha tuone
Tuone ukweli wenyewe upojee...Mazuri kivipi weka picha tuone
Mazuri ya swahiba wangu ni ustahamilivu....
Ustahimilivu unalipa eeMazuri ya swahiba wangu ni ustahamilivu....
Eee Mola tuepushe na virusi vya coronaUstahimilivu unalipa ee
sana - tafsiri kwa kingereza
forge, quite, very, very much
Eyes zenye kutiririsha machozi uyaogope !!
Uyaogope tena usiyaguse!Eyes zenye kutiririsha machozi uyaogope !!
Usiyaguse maji yake yanaunguza kama tindikali...Uyaogope tena usiyaguse!
Kimasihara tu uzi huu unayeya...tindikali ni shida nyingine zaidi ya uzi wa kula tunda kimasihara
Unayumba kwa sbb hakuna wachangiaji...Kimasihara tu uzi huu unayeya...