MLEVi Mmoja
JF-Expert Member
- Jun 29, 2019
- 8,514
- 15,050
Uchumi imara ni sisi nguvu kazi tusiyo terereka
Mto wa sufi ni bora kulalia kuliko mto wa sponchiEyes ni popo mbili zinazovuka mto
Sponchi hv ni neno la kiswahili au kingerezaMto wa sufi ni bora kulalia kuliko mto wa sponchi
Kiingereza cha Ndalichako kina makengeza
Kingereza lakini wao hutamka sponge, Waswahili huita Banko !!
Makengeza kama yule jokaKiingereza cha Ndalichako kina makengeza
Makengeza huangaza kona zote kulia na kushoto papo hapoKiingereza cha Ndalichako kina makengeza
Joka lina dunga sumu..Makengeza kama yule joka
ᴸᵉᵍᵉⁿᵈᵃʳʸ [emoji377]
Kuu lao halijui kuogelea limeishia ufukoni mwa bahari
Kasi ya umeme hutambaa kuliko mwangaza
Msingi imara kwa malezi ya watoto
Mkuu unaizungumzia ya azimio Tandika
Watoto wa Temeke sio laini kama wa kinondoniMsingi imara kwa malezi ya watoto
Tandika godoro tulale lete shuka tujifunike !!Mkuu unaizungumzia ya azimio Tandika
Tandika godoro tulale lete shuka tujifunike !!
!! Ni alama za mshangao