Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MWISHO NI TAMATI AU HATMA..Ni alama za mshangao nimejiwekea maana huu uzi na-comment huu mwaka wa 7 kwanini tusikubaliane mimi nikawa wa mwisho?
Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
Uzi huu ni stress remover
Mwisho wa ubaya ni aibu
Zangu zote zina rangi mojaMshindi,jamaa, eva na ayu ni mademu zangu
Moja itakutosha kwel? Chukua na ziada basiZangu zote zina rangi moja
ᴸᵉᵍᵉⁿᵈᵃʳʸ [emoji377]
Basi nasema ahsante
Taifa linajengwa na vijana wenye nguvu na wazalendo
Wazalendo wengi ni wanafkiTaifa linajengwa na vijana wenye nguvu na wazalendo
Wambea hawaendi mbinguni