Wa mwisho ndiyo mshindi

Mabadiliko yakweli hayaletwi na CCM kwa sababu ya mfumo.Kura tuwape UKAWA
 
Mtaani ndio maskani! Namkubali sana Makongoro,tatizo ni kuwa atatumia muda mwingi kudeal na kuisafisha ccm na kuijenga upya badala ya kutatua matatizo ya wananchi.
Makongoro ahame CCM kama kweli anaumizwa na shida zetu!
 
CC,Mtwasi@Mwana=b5-click
 
Zetu shida zitawsza kutatuliwa na mtu kutoka nje ya mfumo wa CCM
 
Kind of this silence is not allowed here.. By the way my Queen Mwana how are you, pepsin how do you do!?
 
Last edited by a moderator:
Mwana mtwasi kakukumbuka sana, mpe hata salamu.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…